Published November 30, 2021
| Version 1.0
Project deliverable
Open
Miunganiko baina ya wakimbizi na wenyeji kwa ufumbuzi wa ndani - Mafunzo kutoka Tanzania
- 1. DIGNITY Kwanza – Community Solutions
- 2. University of Leiden
- 3. BICC (Bonn International Center for Conflict Studies)
Description
Tanzania ina wakimbizi wapatao 264,475 waliosajiliwa; karibia asilimia 85 ya wakimbizi hawa wanaishi katika makambi (UNHCR, 2021) wakati idadi nyingine ya wakimbizi wanaishi nje ya makambi ya wakimbizi, mara nyingi katika maeneo ya mijini. Katika jiji la Dar es Salaam, ambalo lina idadi ya watu wapatao milioni 6.7, idadi rasmi ya wakimbizi wanaoishi katika jiji hilo haifiki 300, wakati makadirio yanaonyesha kwamba kuna wahamiaji wapatao elfu kumi wanaoishi katika mazingira mafumu na wenye hali kama ya wakimbizi.
Notes
Files
TRAFIG-practice-note-8-swa_web.pdf
Files
(326.5 kB)
Name | Size | Download all |
---|---|---|
md5:9dd148b7c712ea237f2ca00b7b234dc2
|
326.5 kB | Preview Download |