Siník! Vitendawili vya Kigorwaa
Description
Utanzu wa vitendawili ni miongoni mwa tanzu kongwe wa fasihi simulizi ambao umekuwa na umuhimu wake katika kuiburudisha jamii kwa karne nyingi. Vitendawili ni utanzu uliosheni matumizi ya tamathali za semi, taswira, ishara na mafumbo ambavyo hujenga sitiari inayotakiwa kufumbuliwa kwa lengo la kupata ujumbe uliomo katika vitendawili. Pamoja na utajiri wa utumizi wa tamathali za semi katika utanzu huu wa vitendawili, bado kuna pengo kubwa la kiutafiti inayobainisha dhima ya taswira ya vitendawili katika fasihi simulizi za jamii ya ndogo ya Wagorwaa. Wasilisho huu utaeleza vitendawili vya kigorowa kwenye mazingira yake ya kijamii, pamoja na kuonyesha mifano kadhaa kuhusu utafiti kwenye tanzu wa fasihi simulizi huu.
Notes
Files
Festo Massani (2020) - Siník! Vitendawili vya Kigorwaa.mp4
Files
(900.0 MB)
Name | Size | Download all |
---|---|---|
md5:4ea2451237b8472aa75b4429e2c39b6e
|
900.0 MB | Preview Download |