"Timestamp","Umri wako? ","Jinsia yako","Unatumia (m)itandao gani ya kijamii?","Kwa upande wako ungependa makampuni (kama ya Benki na Mitandao ya simu) yawasiliane na kuandika content zao vipi mtandaoni? ","Unapowasiliana na kampuni (Mfano benki au kampuni ya simu), unaweza kutofautisha ujumbe ulioandikiwa na mtu halisi au uliojibiwa na roboti yaani ujumbe wa automatic (uliosetiwa). Unaweza kutambua?","Je, unapokuwa na shida na ukawaandikia kampuni (Mfano benki au kampuni ya simu) fulani juu ya shida yako na ukagundua ujumbe waliokujibu ni wa automatic (Yaani uliosetiwa kwa kila anayewasiliana nao) Huwa unajisikiaje? ","Kwa maoni yako, kampuni ambayo huwa ina kawaida ya kupost na kuandika maudhui (content) ya kufurahisha, kuchekesha na kuburudisha wateja wake (yaani wanaandika maudhui ambayo sio serious sana) ili kuongeza engagement mtandaoni: Unawapa alama ngapi kati ya 1 - 5? (Ikiwa 5 ni vizuri sana na 1 ni vibaya sana).","Huwa unajisikiaje, pale kampuni (Mfano benki au kampuni ya simu) ikikuandikia ujumbe inbox ikakutaja kwa jina lako binafsi au ikakutag mtandaoani kwa kuonesha wanakukubali mteja wao?","Kwa maoni yako, ni kitu gani UNAPENDA kuona makampuni (kama ya Benki na Mitandao ya simu) yanakitumia mitandaoni kwenye mawasiliano na maudhui (content) zao?","Kwa maoni yako, ni kitu gani HUPENDI kuona makampuni (kama Benki na Mitandao ya Simu) yanakitumia mitandaoni kwenye mawasiliano na maudhui (content) yao?","" "2024/08/13 10:21:26 AM GMT+3","25","Me","Vodacom ","","Ndio","Sikubaliani kabisa","5","Narizika kabisa","Kutaja Majina yangu","Safari ndefu kuongea na mtoa huduma hasa ukipiga Customer care","Iwe na lugha rafiki na itumie lugha ya mtandaoni" "2024/08/13 10:27:02 AM GMT+3","23","Me","Facebook, TikTok na Instagram ","","Ndio","Nakubaliana","4","Narizika kabisa","Urafiki wasiwe formal sana","Kutumia sms Moja mara kwa mara","Iwe na lugha rafiki na itumie lugha ya mtandaoni" "2024/08/13 12:59:13 PM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Instagram","","Hapana","Vibaya","3","Vizuri","Kujibu watu kwa wakati ","Kutotoa majibu sahihi kwa matatizo ya watu","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni" "2024/08/13 2:19:20 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Mingine","","Ndio","Vibaya","4","Vizuri sana","Waji hoja zinazoibuliwa na wateja ili kuboresha huduma zao","Sidhani kama kuna nisichopenda","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni" "2024/08/13 2:28:50 PM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Facebook","","Hapana","Kawaida","3","Vizuri","Mabadiliko hayakwepeki. Matumizi ya AI lazima yaingizwe kwenye mawasiliano ya makampuni. Hata hivyo lazima kuwe na uhariri na ufuatiliaji ilibkuepuka kuharibu brand ya kampuni","Kuandika kwa lugha ya kihuni na isiyoizingatia misingi ya uandishi","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi" "2024/08/13 2:50:59 PM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","5","Vizuri sana","Lugha ya picha","Bot","" "2024/08/13 2:56:36 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Watumie lugha ya kawaida na ya kirafiki. ","Wasitumie kauli zenye kuwafanya watu wakwazike au kuchukia kiasi cha kuwaza kuhamia makampuni mengine.","" "2024/08/14 9:16:19 AM GMT+3","20 - 29","Ke","Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Yatumie content ambazo zinavuta attention ya wateja na kutengeneza urafiki kati ya benki na wateja","Kutaja moja Kwa moja majina ya wateja Kwa kuandika maneno yanayochoma kuhusu wao","" "2024/08/14 9:23:08 AM GMT+3","20 - 29","Ke","Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","5","Vizuri sana","Watumie content ambazo zinatengeneza urafiki","Kutoa matangazo ambayo yapo serious ","" "2024/08/14 9:26:54 AM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Wajaribu kuandaa content zenye mfumo wa kuburudisha lakin Zinazo fikisha ujumbe husika","Kutumia Lugha ngumu Ambayo sio raia wote wanaelewa","" "2024/08/14 9:36:39 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","5","Vizuri sana","Simple na kuburudisha","Lugha ya Official sana","" "2024/08/14 6:46:18 PM GMT+3","30 - 39","Ke","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","4","Vizuri","Ziwe za kufurahisha.. creativity. ","Bado sijaona chochote Cha kuongezea","" "2024/08/14 6:46:27 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","3","Kawaida","No comment","No comment","" "2024/08/14 6:51:41 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","2","Vizuri","Makampuni Zajitahidi Kuwekeya Kwenze Mitandao yote ya kijamii. ","Kutumia Maroboti kujibu Watu, ","" "2024/08/14 6:53:23 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","4","Vizuri","Napenda kuona ujumbe unajibiwa kwa wakati na kwa utaratibu bila kumrushia mtu au kampuni nyingine lawama","Siasa","" "2024/08/14 6:54:10 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","3","Kawaida","Kuwasiliana na wateja wao moja kwa moja na kutatua changamoto zao kwa wakati","Kuwekwa hewani muda mrefu ukisubili kuhudumiwa kama vile hatuna kazi zingine za kufanya, mpaka kufikia hatua unakata tamaa ","" "2024/08/14 6:55:17 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Wawe wanatupa updates zao direct kwenye hyo mitandao yao ya kijamii, engagement itapatkana wakati tunajadili hzo contents na watajua nini wateja wanapenda na nini wateja hawapendi","- Kwa benki hadi sasa sijaona tatizo - Mitandao ya simu waache SMS za matangazo, n mengi sana had inapoteza uhalisia wa simu, lakn pia namba ya huduma kwa mteja n kama namba ya huduma ya matangazo, mpaka kumpata mtu inachukua muda mrefu had wakat mwingine kukata tamaa ya huduma","" "2024/08/14 7:04:21 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vibaya","Transaction ambazo ninazifanya only that","Jumbe za betting na michezo na matamasha yananikera sana ","" "2024/08/14 7:05:59 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","1","Vizuri sana","Lugha rasmi yenye kueleweks","Lugha isiyo rasmi katika matangazo yao","" "2024/08/14 7:06:37 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","2","Kawaida","Waandike kwa lugha fasaha","Watume lugha inayoeleweka","" "2024/08/14 7:08:13 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","5","Vizuri","Lugha rasmi ","Kuzidisha uchekeshaji ","" "2024/08/14 7:12:21 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri sana","Uhalisia wa content pamoja na impact","Wanapromoti sana matangazo lakini hayana uhalisia mfano mikopo ","" "2024/08/14 7:16:02 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","4","Kawaida","Matangazo ambayo content yake ni SERIOUS waweke kwa lugha rasmi na kama ni BURUDANI na sometimes labda kuhusu league, ofa zao na n.k. Yawekwe kwenye lugha flani iwe katika iwe rasmi na pia inayovutia kulingana na burudani yenyewe ili isipoe wala isiboe. MWISHO","Content zao muda mwingine hazina ukweli, hufanya hivyo ili kupata wateja. Hii kitu SIPENDI.","" "2024/08/14 7:18:40 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri","Speed ya matangazo iwe sawa na utatuzi wa matatizo ya wateja. Waweke watu wenye uelewa mkubwa wa bidhaa zao kwny mawasiliano na wateja","Kutangaza kitu ambacho ukitaka kifanyike kwa vitendo unazungushwa","" "2024/08/14 7:26:04 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","5","Vizuri sana","Facts","Politics/ language ","" "2024/08/14 7:28:45 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","# kwa watu ambao wanaengage kwenye account yao, repost na kement kwa kuonyesha kujali wateja wao hata kama post haihusiani na kampuni. Yanaweza kuwa mambo ya kawaida tu mtandaoni.","Ndugu Fulani, Asante kwa kuwasiliana na kampuni XYZ, fika duka la kampuni XYZ lililopo karibu nawe... Wakati baadhi ya mambo ni ya kuyatolea ufafanuzi kwa ujumla... Hii inatokea Mara nyingi karibia kila malalamiko ambayo kampuni XYZ inakuwa imetagiwa.","" "2024/08/14 7:29:19 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","2","Vizuri sana","Kuwa karibu sana na wateja kwa kutatua changamoto zinazomkabiri mteja mmoja mmoja","Kudharau maoni ya wateja wao na kutokutatua changamoto za wateja wao","" "2024/08/14 7:34:53 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","5","Vizuri sana","Waweke mambo yawe rahisi na yakueleweka","Kuchelewa kutoa huduma Kwa mteja","" "2024/08/14 7:40:07 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Kawaida","4","Vizuri sana","Katuni na picha ","Lugha ya kigeni yenye misamiati migumu ","" "2024/08/14 7:41:05 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","4","Kawaida","Itumie watu kufanya promotion ikiwa kama njia moja wapo ya ajira ","Kutuma sms za kampuni tofauti ","" "2024/08/14 7:42:49 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","5","Vizuri sana","Kuwa na uwazi na ukweli, na uwakika wa kutunza taarifa binafsi","Kutoa taarifa za uongo, na kuchelewa kujibu changamoto za wateja wao","" "2024/08/14 7:50:16 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","4","Vizuri","Nafurahi mfumo wa app unatoa taarifa rasmi kwakujitosheleza zaidi ya matangazo wanayofanya kwa platform zao na media ","Sipendi kuona wakitumia mofimu zenye ukakasi kufikisha maudhui yenye uzito.","" "2024/08/14 7:55:14 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","5","Kawaida","Kuelimisha jamii juu ya afya","Kuweka mbali option au kulimit option ya kuzungumza na mtoba huruma,Muda mwingne hawatoi option ya kuzungumza kutokana na tatizo lako,pia watoe ruhusa ya mapendekezo ktk usala wa account za miamala mfano crdb withdrawal ihusishe finger print Ili kudhibiri wadanganyifu waliofaanikiwa kupata namba ya siri","" "2024/08/14 8:09:42 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","2","Kawaida","Direct call","Msg zisizo na tija","" "2024/08/14 8:35:28 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","3","Vizuri sana",". ","Automated Replies","" "2024/08/14 9:01:40 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Video nzuri","Picha nyingi","" "2024/08/14 9:25:24 PM GMT+3","20 - 29","Ke","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","3","Vizuri sana","They supposed to use language that would be friendly to everyone ","The use of bad language","" "2024/08/14 9:51:58 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","2","Kawaida","Watumie lugha ya kawaida tu, sio misamiati fikirishi (migumu)","Kutuma jumbe ambazo hazihusiani na mteja, mfano sijawahi kucheza droo yoyote ya KAMATA MKWANJA lakini kila siku natumiwa SMS za maudhui hayo. kwahiyo wajitahidi kutuma jumbe kwa wahusika sio kwa kila mteja.","" "2024/08/14 10:18:41 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Mawasiliano ya moja kwa moja","Robot","" "2024/08/14 10:18:58 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Mawasiliano ya moja kwa moja","Robot","" "2024/08/14 10:43:00 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","3","Vizuri sana","Uharaka wa kuwadumia wateja wao hasa huduma Kwa wateja","Kujihusisha ama kutoa taarifa inayohusiana kisiasa","" "2024/08/14 10:59:38 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Sijui","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Whatsap","Sms za kawaida","" "2024/08/14 11:04:53 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","4","Vizuri","Video","Automatic masage","" "2024/08/14 11:26:19 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Napenda wawajali Wateja wao na kuwa thamini ","Sipendii wanavyo chelewa kutatua Changamoto za Wateja wao ","" "2024/08/14 11:30:09 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Sijui","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Petro Ntandu ","Petro Ntandu ","" "2024/08/14 11:54:16 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio;Hapana","Vibaya","3","Kawaida","Huduma halisi","Kuchelewa kupokea simu kuuzaa taarifa ","" "2024/08/15 12:58:47 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Tukianza kwenye mawasiliano makampuni ya benki na mitandao ya simu inabidi yawe yana respond kwa haraka mahitaji ya wateja wao, kwa mfano kama mteja akipiga simu inabidi ipolewe haraka, mteja akituma ujumbe inabidi ujibiwe haraka, kwa kufanya hivyo kutasaidia sana makampuni kuzidi kutengeneza mahusiano mazuri na wateja wao hivyo kupelekea kupata wateja zaidi, na kwenye maudhui ama ( content ) inabidi content zao kwanza ziwe zina burudisha, zinaelimisha na pia zina inspire, kwa kuafanya hivyo itaongeza mvuto zaidi kwa wateja wao na pia kupelekea kuongezeka kwa wateja.","Kwenye mawasiliano kitendo cha kutopokea simu na kutojibu ujumbe kwa haraka wakati hiki kitu kinakera sana wateja, na upande wa content ama maudhui inabidi yasiwe serious sanaa na pia yasiwe marefu sana mana yatakua hayana mvuto.","" "2024/08/15 3:01:38 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri","Yawe karibu na wateja wake wataweza tambua kwa urahisi zaidi changamoto za wateja kuliko kuwa formal sana","binafsi sipendi kuona makampuni yakitumia lugha ngumu katika matangazo yao kitu ambacho unipa mkanganyiko kuelewa ujumbe sahii ","" "2024/08/15 6:14:45 AM GMT+3","20 - 29","Me","Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","4","Vizuri sana","Waongeze ufanisi","Kuchereweshwa kwa huduma","" "2024/08/15 7:48:17 AM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Customer care nzuri na kwa wakati ","Message za mara kwa mara kwenye simu yangu (inbox)","" "2024/08/15 8:21:55 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Kawaida","3","Vizuri","Sms","Calls","" "2024/08/15 11:30:23 AM GMT+3","20 - 29","Me","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya","3","Vizuri sana","Napenda engagement na wawe wawazi kuhusu huduma,kuna wakati una shida na customer care unawatafuta ila wanachelewa kujibu na hata wakijibu hawaendi moja kwa moja kwenye kutatua changamoto yako bali mtazungushana sana. Wawe moja kwa mona ila kuepusha madhara na hasara kwa pande zote mbili. Pia niwapongeze kwa huduma zao wazoboresha kila kukicha tunafurahi wateja wao.","Usubirishaji wa huduma hasa mitandao ya kijamii simu inarekodiwa dakika 4-8.kama ni tatizo la kifedha la kushughulikiwa hapo kwa hapo tayari madhara yametokea na kuwavunja moyo na matumaini wateja wao.","" "2024/08/15 12:05:10 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","3","Vizuri sana","Kitatua changamoto za wateja ndan ya mda mfupi","Kuandika kampuni hili n Bora bila utafiti","" "2024/08/15 12:23:29 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","3","Kawaida","No","Yes","" "2024/08/15 12:43:50 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Kawaida","Kuelimisha na motisha","Dhihaka","" "2024/08/15 1:54:25 PM GMT+3","40 - 49","Ke","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Kawaida","5","Vizuri sana","Ningependa kuona wakiimarsha huduma zao na kuzifanya kuwa rafiki kwa mtumiaji na kupunguza tozo kwenye huduma zao","Sipendi kuona wanakituma matangazo mara kwa mara","" "2024/08/15 2:02:50 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","1","Kawaida","Ujembe uhalusia wa jambo lilo/linalool tarajia kutoea","Kutuma tuma sms bila ruhusa yangu inakera sana","" "2024/08/15 2:12:38 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vizuri","2","Vizuri sana","Kutumia Lugha rafiki yenye Upekee wa Aina ya Kampuni Lenyewe ","Wasitumie Lugha holela, itawarahisishia matapeli na wahalifu kuvuruga kazi zao","" "2024/08/15 2:28:42 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","2","Vizuri","1-Yatumie lugha ya mtaani kuwasilisha maudhui yao. ","Kutuma matangazo yasiyo na tija kwa wateja.","" "2024/08/15 2:34:07 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","3","Vizuri","Seriousneas","Ads bila ridhaa yangu","" "2024/08/15 3:22:56 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","1","Kawaida","Kutoa huduma kwa wakati, kuwa karibu na wateja 1.Matangazo na watu wenye ushawishi mkubwa. ","Lugha isiyo rasmi, content creator wasio rasmi, huduma babaishi mfano matumizi ya Bot kwangu Mimi naona ni huduma babaishi kwani bot haiwezi kuelewa hisia za mteja. ","" "2024/08/15 3:49:25 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Sijui","Vibaya","2","Vizuri sana","Fursa, ujuzi mf maisha ","Uchochezi hasi , starehe na kupuuza uwajibikaji katika jamii .","" "2024/08/15 3:49:57 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Sijui","Vibaya","2","Vizuri sana","Fursa, ujuzi mf maisha ","Uchochezi hasi , starehe na kupuuza uwajibikaji katika jamii .","" "2024/08/15 3:58:00 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Uboreshaji wa huduma zao","Maudhui ya siasa na mambo ya dini","" "2024/08/15 3:59:12 PM GMT+3","20 - 29","Me","Facebook;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Washushe bei za vifurushi.","Matangazo.","" "2024/08/15 5:34:50 PM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Kujibu kero za wateja kwa wakati na kutoa ufafanuzi juu ya huduma zao.","Kutoonesha kuwa wanajali kero za wateja wao kwa kuzitolea majibu yakinifu.","" "2024/08/15 5:42:21 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vibaya","Yafanye mambo kulingana na jamii inavyo itaji","Kutuma ujumbe wa automatic akati sisi tunashida ambayo ni muhimu","" "2024/08/16 2:30:55 AM GMT+3","50 +","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","3","Kawaida","Matangazo ya Biashara na maboresho","Data zangu","" "2024/08/16 9:17:57 AM GMT+3","20 - 29","Ke","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","5","Vizuri sana","Kuengage na wateja wao actively na pia kutengeneza content zao kulingana na trends ","Kutumia bots ama kukua too formal na wateja wao","" "2024/08/16 9:54:23 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri","Napenda kuona wakituma lugha rafiki katika kuwasiliana na wateja wao ili kuboresha na kurahisha mawasiliano baina ya watoa huduma na wateja ","Kutumuia mfumo wa roboti","" "2024/08/16 9:55:07 AM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","3","Vizuri","Kuruhusu wanachi kutoa maoni yao kwenye maudhui wanayozalisha kwa njia za msg.","Matumizi ya Roboti kujibu. ","" "2024/08/16 9:55:23 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Wasitumie roboti","Kutumia roboti","" "2024/08/16 9:59:31 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","2","Vizuri sana","Kuwe na userios kwenye kutoa content pia kumsikiliza mteja na kumleta karibu na kwa ukarimu ili mteja afurahie huduma","Kupigiwa simu au kutumiwa jumbe Kila mda wanakera sana sipend kabisa ","" "2024/08/16 10:01:06 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","5","Vizuri sana","Kutumia Social media kufanya brand za bidhaa zao mitandaoni Kwa weledi na Kwa ufanisi ","Matangazo yasiyo na content ","" "2024/08/16 10:31:20 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","5","Vizuri","Kutatua changamoto za wateja wake kwa haraka zaidi","Sms zisizo na mantiki ","" "2024/08/16 10:40:48 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Social media","Kutumia ujumbe fupi kila wakati yaani sms kwenye simu za wateja wao","" "2024/08/16 10:43:21 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Napenda kuona wakijikita kutumia mawasiliano yao na wateja katika kusaidia kutatua changamoto za wateja wao. Kwakutumia lugha rafiki na mawasiliano na mtu rasimi isiwe robot com lakini wawe active kwenye kutoa feedback na kufanya follow up","Robotic communication inaboa, unakuta mteja unauliza jambo flan lenyewee kwakua liko committed linatoa majibu yale yale kwa maswali tofauti tofauti","" "2024/08/16 10:43:41 AM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","4","Vizuri sana","Taarifa za huduma na account yangu","Kuhamasisha mikopo yenye riba juu","" "2024/08/16 12:50:17 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","2","Vizuri","Napenda kuona wanazingatia muda sahihi wa mteja pale tu anapokua na shida (immediately solutions) ",".. wana delay kurespond ani unakuta unawatafuta muda mrefu still uwapati, process ni nyingi kuwapata , iyo inakata sana. So wazingatie hilo, maan ilo ndo jambo kubwa na linalokera. ","" "2024/08/16 3:44:21 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Kawaida","4","Vizuri","mitandao yote ya kijamii","sipendi zile sms wanatuma ambazo hazina uhusiano na mimi kwa mfano tamasha la kizimkazi sipendi ujumbe wa aina hiyo","" "2024/08/16 4:08:02 PM GMT+3","30 - 39","Ke","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","4","Vizuri sana","Lugha sanifu ya kiswahili","Sina","" "2024/08/16 4:08:29 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","2","Kawaida","Yatoe majibu/taarifa husiani kadiri ya mahitaji/maulizo ya wateja.","Kuhamasisha wateja wakope huduma ZAO.","" "2024/08/16 4:09:06 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Kawaida","Sijakupata vizuri","Kama hapo juu","" "2024/08/16 4:10:39 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","1","Kawaida","Matangazo yawe na Ubora sio kuchekesha wateja","Katuni","" "2024/08/16 4:19:44 PM GMT+3","30 - 39","Ke","Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Kawaida","4","Vizuri","Waweke namba za simu zinazotumika na tukipiga wapokee simu kwa wakati","Matangazo yasiwe mengi sana kupitiliza.","" "2024/08/16 4:21:36 PM GMT+3","40 - 49","Ke","Facebook;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","4","Vizuri","Sijaelewa swali","Sjui","" "2024/08/16 4:29:35 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","1","Vizuri sana","Kuwa karibu na wateja wao na kuonesha kwamba inawajali","Kupokea jumbe ambazo ni automatic reply","" "2024/08/16 4:33:36 PM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Swali hili halieleweki. Kitu gani kivipi? ","Udanganyifu. Kwa mfano, kutumia sekunde kunifahamisha salio la kifurushi changu. Ninadhani lengo ni kuniteka nione nina kiasi kikubwa.","" "2024/08/16 4:43:35 PM GMT+3","40 - 49","Ke","Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","4","Vizuri sana","MITANDAO WASIMAMIE WATEJA WAO KUTOSUMBULIWA KWA MUINGILIANO WA CM,, AU KUIBIWA BILA MMILIKI WA LINE KUSHIRIKI,, YN PESA INATOKA HUJUI","NAONA WAPO SAWA","" "2024/08/16 4:46:40 PM GMT+3","40 - 49","Ke","Facebook;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","2","Vibaya","Watoe njia ya kuwaandikia ujumbe au kujibu ujumbe wanaotuma","Ujumbe kujirudia mara nyingi","" "2024/08/16 6:18:14 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","2","Vibaya sana","Lugha mzuri kwa mteja","Majibu ya automatic","" "2024/08/16 6:22:56 PM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","3","Vizuri","Mawasiliano ya kawaida ambayo hayawezi kuwafanya watu wakafikiria kuwa ni wahuni wa mtandaoni","Kutumia lugha ngumu na kuwa na majibi mepesi kwenye kutatua changamoto za wateja","" "2024/08/16 6:47:22 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","4","Vizuri sana","Watumie lugha rafiki isiyo rasmi sana ","Huduma zilizosetiwa kwa roboti ","" "2024/08/16 7:16:17 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","4","Kawaida","Ningependa wawe wazi na kutatuwa matatizo ya watu papo hapo wasiwe Kam robot ","Sipendi jinsi wanakuwa late kutoa huduma ya chap kwa mteja ..pia the way wanakuwa kama ma robot ","" "2024/08/16 7:54:52 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Pendekezo langu makampuni yangetumia watu kwa ajili ya kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa uelewa zaidi,pia wangetumia lugha maalumu kwa ajili ya wateja wenye uhitaji maalumu mfano matumiz ya LUGHA YA ALAMA.","Matumiz ya lugha kiingereza zaid kuliko lugha ya kiswahili hasa wakati wa kufikisha matangazo yao","" "2024/08/16 8:02:26 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","5","Vizuri sana","Ni vizuri kwan huko ndiko Kuna kundi mkubwa la watu na watajitangaza kirahisi","Ambavyo wanatumia AI","" "2024/08/16 8:36:01 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri","Kwa maini yangu mi naomba watumie njia nzuri ya kufikisha ujumbe ambayo itaweza kumfikia Kila mtu ambae anajua kusoma na asie jua kusoma na watu wenye uhitaji maalumu asante.","Udhalilishaji wa watu kwenye mtandao ","" "2024/08/16 10:00:28 PM GMT+3","40 - 49","Ke","Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","3","Vizuri sana","Offers mbalimbali","Matangazo yasiyohysiana nz huduma za benk au mitandao ya somu husika","" "2024/08/16 10:29:02 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","5","Vizuri","Lugha rafiki kwa wateja wao na ushirikiano kwa wateja","Kupotezea shida ya mteja kama hawajona comment na kujibu ya mtu mwingine sio vizuri ","" "2024/08/16 11:11:21 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","4","Vizuri","Lugha mbili Swahili na English translation","Emphasis yao ya kutushawishi kukopa. Ningependa wapunguze","" "2024/08/17 12:06:16 AM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Wapandishe gharama za vifurushi au makato kwa kutushirikisha","Matumizi ya lugha ya kiswahili tu wakati kuna wateja wao hawakijui kiswahili wanajua kisukuma","" "2024/08/17 12:51:00 AM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","1","Vibaya sana","Wapunguze makato","Message ambazo sio zanfu","" "2024/08/17 6:58:36 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Kawaida","5","Vizuri","Yawe relevant ","Amna","" "2024/08/17 8:09:40 AM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","5","Vizuri sana","Yatoe ofa mara kwa mara ili yazidi kutuvutia zaidi kutumia makampuni/mitandao yao.","Wanafanya vizuri nashauri wasipunguze ila waboreshe zaidi.","" "2024/08/17 8:10:34 AM GMT+3","30 - 39","Ke","Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","5","Vibaya sana","Kutatua changamoto za mteja kwa wakati bila kuchelewa","Ukiwa na changamoto kuna wanaokujibu nje ya changamoto yako","" "2024/08/17 9:35:25 AM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vizuri","4","Vizuri","Short Timely based","Long time Communication","" "2024/08/17 9:41:05 AM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Kawaida","4","Vizuri sana","Taaifa kuhusu uhalifu wa kimtandao","Matangazo Yao ya biashara","" "2024/08/17 10:19:31 AM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","4","Vizuri sana","Watumie zaidi watu halisi yaani binadamu ","Matumizi ya robot zaidi kuliko watu","" "2024/08/17 10:30:13 AM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri","Kuwe na content zinazoeleweka kirahisi","Mizaha isizidi katika matangazo yao","" "2024/08/17 11:08:53 AM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","1","Vizuri sana","Wanapotangaza ofa zao","Matangazo yanayolenga itikadi fulani mfano dini, siasa","" "2024/08/17 2:48:33 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","3","Vizuri sana","Lugha rasmi","Lugha isiyo rasmi","" "2024/08/17 6:16:35 PM GMT+3","30 - 39","Ke","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","4","Vizuri sana","Mawasiliano halisi sio ya robot ","Matumizi ya robot kujibu wateja","" "2024/08/17 6:54:26 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Lugha rahisi","Ujumbe mmoja kutumwa zaidi ya mara moja.","" "2024/08/18 7:58:03 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","2","Vizuri","Waongeze customer care ","Huduma kwa wateja ni mbovu","" "2024/08/18 5:17:20 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","3","Vizuri","Napenda kuona makampuni yakitumia picha mjongeo pamoja na maneno yenye muktadha halisi.","Spending kuona makampuni yakitumia katuni kwenye matangazo yao","" "2024/08/20 10:27:14 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Facebook;Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya","5","Vizuri sana","Uwazi","Kukumbushia mikopo","" "2024/08/22 6:22:45 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","4","Vizuri sana","Sio kila wakati wanatumia watu maarufu kwenye matangazo, watumie hata watu wa kawaida tu itakua poa sana ","Sipendi kuona tangazo linaonyesha vigezo vya kupata huduma fulani ni rahisi ila ukihitaji huduma vigezo vinakua kibao","" "2024/08/22 8:48:58 PM GMT+3","20 - 29","Ke","Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Wewe wanatumia skill na sio cript kwasababu kuna muda mtu unahitaj msaada zaid lkn wa nashidwa kukusaidia kwasababu wanalimitiwa na script ","Automatic message ","" "2024/08/22 9:18:13 PM GMT+3","20 - 29","Me","Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","5","Vizuri","Kwasababu inasaidia kuwafikia kiurahisi wateja. Wake","Kuna baadhi ya watu hawatumii mitandao","" "2024/08/23 4:37:27 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","2","Vizuri","Lugha inayo ileweka ","Lugha isiyo eleweka ","" "2024/08/25 12:09:03 PM GMT+3","30 - 39","Me","Facebook;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","4","Vizuri sana","Habari za taarifa za akaunti, mikopo na uboreshaji wa huduma zao kuwa bora zaidi na zenye nafuu","Taarifa zinazohusiana na serikali","" "2024/08/28 9:19:46 AM GMT+3","40 - 49","Me","x (Twitter);Facebook","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","5","Vizuri sana","Waongeze kujihusisha na kujibu maswali ya wateja wao sio kukimbia wajibu wao baada ya kuulizwa maseali au anakwambia piga simu namba fulani ambayo hata hauwezi kuwasiliana nao zaidi ya hapo kwenye mtandao","Jambo la wao kutamani kutupa mawazo yao zaidi kuliko kutusiliza sisi kuhusu bidhaa zao","" "2024/09/01 7:12:55 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Kawaida","3","Vizuri","Yawe yanatumia lugha rahisi inayoweza kueleweka kwa kila mtumiaji","Maudhui yanayotumia lugha ambayo si rasmi","" "2024/09/06 1:36:41 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Sijui","Vibaya sana","4","Vizuri sana","kuongeza ubunifu na kujibu wateja kwa uharaka ","kuchelewa kurespond pale napotaka kuongea na wahudumu","" "2024/09/06 10:06:34 PM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Vibaya sana","1","Vibaya","kuimarisha ulinzi wa taarifa pia waimarishe huduma kuwa rahisi kayika upatikanaji pamoja na namna mifumo inafanya kazi kuweza kuwa rahiso kwa watumiaji walio na uelewa wa kawaida ","kuwalazimisha watumiaji kutumia huduma ambazo hawana uelewa nazo mf Mabenki wanawafungulia acc wakulima ili hali mkulima anaitumia kwa msimu mpaka msimu mqingine inakuja shida mara mteja anaambiwa acc imelala na tayari anataka pesa yake kwa sababu hajapewa elimu kwamba kwa muda fulani uaipotumia acc hii haitaweza kufanya kazi labda mpaka uende benki kwa msaada ","" "2024/09/07 11:48:59 AM GMT+3","30 - 39","Me","x (Twitter);Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya","2","Vizuri sana","Matumizi ya lugha na picha zenye kuweza kutoa tafsiri nzuri na kueleweka kwa haraka.","Utumiaji wa vikatuni, au uchekeshaji vinapoteza uhalisia Wa mahudhui","" "2024/09/07 4:07:08 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya sana","3","Kawaida","Kuwapa umuhimu wateja","Huduma kwa wateja wanaringa sana","" "2024/09/09 8:50:15 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","5","Vizuri sana","kuandika ujumbe mfupi mfupi usiokuwa automatically kutoka kwa roboti","automatically reply ","" "2024/09/10 10:48:33 PM GMT+3","15 - 19","Me","Mingine","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Vibaya","3","Kawaida","ubora wa huduma","kupata huduma mbovu","" "2024/09/18 2:33:29 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram;Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Vibaya sana","4","Vizuri","Huduma kwa wateja wawe updated na mambo yanaendelea kwa wateja","Tabia ya mtu akiwatafuta Sehemu ya comment hawajibu chochote zaidi ya kudai wawasiliane kupitia namba zao na ukiwapigia tu simu hawapokei au kutoa majibu yasiyo ridhisha","" "2024/09/27 9:19:58 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Hapana","Vibaya sana","5","Vizuri sana","Good customer ","Bad customer care ","" "2024/10/13 2:46:18 PM GMT+3","30 - 39","Me","Mingine","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Hapana","Kawaida","5","Vizuri sana","Wawe wanatoa hofa na kupunguza gharama za mb","kutoa taarifa za mteja bila taratibu","" "2024/10/16 10:09:32 PM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter)","Yawe serious sana na yatumie lugha rasmi","Ndio","Kawaida","3","Kawaida","Lugha rasmi ","Lugha isiyo rasmi","" "2024/11/13 6:43:33 AM GMT+3","20 - 29","Me","x (Twitter);Facebook;Instagram","Yawe na lugha rafiki na yatumie lugha ya kawaida kama ya mtandaoni","Ndio","Kawaida","1","Vizuri sana","Kutumia lugha nyepesi ","Muda mwingi kutatua changamoto ",""